Friday, January 21, 2011



Mwaka Mmoja umepita tangu Mama yetu Mpendwa alipoaga Dunia.
Tumemkumbuka kwa Adhimisho la Misa Takatifu iliyosomwa na Padre Mogela wa Parokia ya Matombo iliyofanyika Kijijini Konde huko Matombo Morogoro. Raha ya Milele Umpe Ee bwana na Mwanga wa Milele umuangazie. Apumzike kwa Amani. Amina.
Posted by Picasa

1 comment:

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.